TAARIFA KWA WANAHISA WA TELESECURITY COMPANY LIMITED

Taarifa imetolewa kwamba Mkutano Mkuu wa ishirini na moja (21) wa mwaka wa wanahisa wa Kampuni ya Telesecurity utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 29 Novemba, 2025 kuanzia saa tatu na nusu (3:30) asubuhi katika Ukumbi wa Ngome uliopo Afrika Sana – karibu na TRA Mwenge mkoa wa Dar es Salaam