TAARIFA KWA WANAHISA WA TELESECURITY COMPANY LIMITED

LANI INATOLEWA kwamba Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa Telesecurity Company Limited utafanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii Bamaga -Mwenge ktk makutano ya barabara mpya ya Bagamaoyo na Sinza Mkoa wa Dar es Salaam.